Content on this page requires a newer version of Adobe Flash Player.

Get Adobe Flash player


TANGAZA BIASHARA YAKO KATIKA TOVUTI YETU..

Wasiliana nasi:
Simu: 0715 851 523
Barua pepe: rumatz2011@yahoo.com
Tovuti: www.rumatz.com
------------------------------------------

MATAMASHA YALIYOFANYWA NA GLORIOUS CELEBRATION
-Glorious Celebration-Motivation Friday-Family Day
-----------------------------------------
MAINDA AJIAANDAA KUFUNGUA BLOG YAKE...

Mainda anakaribia kufungua blog yake mpya inayoenda kwa jina la www.maindasmallbaby.blogspot.co. Utajifunza mengi katika blog hiyo ya kisasa
BONYEZA HAPA KUONA BLOG MPYA YA MAINDA
-------------------------------------------
TEMBELEA BLOG ZINGINE
-Samsasali
-Hossanainc
-Intellescope Magazine
-Biz Quest
-------------------------------------------
SOMA HABARI ZILIZOPITA
Bofya hapa kujua yaliyotokea


Frezy Fashion tunapatikana Stand ndogo Arusha, mkabala na hoteli ya Miawi.
Tunawakaribisha

Unique Fashion tupo barabara ya NairobiTriple Complex, Moshi.
wasiliana kwa simu: 07896 500002

8 Desemba 2011

K.K.K.T DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI KONGAMANO KUU LA VIJANA KIBAHA FILBERT LIKIPAMBWA NA WAIMBAJI WA NYIIMBO ZA INJILI GLORIOUS CELEBRATION.

Kongamano hili limeandaliwa na vijana Kibaha katika shule ya sekondari ya Filbert. Kongamano hili limebeba ujumbe kutoka Daniel 5-14 unaosema, "Nimesikia Habari Zako Kwamba Roho wa Mungu Iko Ndani Yako, na Kwamba Nuru na ufahamu wa Akili Bora Zimeonekana Kwako"

Kutoka kushoto nimchungaji Anthon, Chase Msinga, Mwenyekiti wa Vijana Oscar Mnyirenda

Katibu wa Vijana, Amoni akiwakaribisha Glorious Celebration stejini kwaajili ya uimbaji.

Glorious Celebration wakilitawala jukwaa siku ya kwa kuita uwepo wa Mungu kwa njia ya uimbaji.

Meneja wa masoko wa Glorious Celebration, (aliyevalia penzi) akiwa na mpigaji gitaa wa Glorious, Imma Base wakisubilia chakula cha mchana.

Dada Nice akimwimbia Mungu siku ya Vijana Kibaha. Wengine kuanzia kulia ni Davina, Mercy, Chaka, Lisper na Mercy.

Wapigaji vyombo wakihusika katika kumtumikia Mungu

David akifanya kazi ya Bwana na kutoa mchango wake wa uimbaji kwa hisia kali

Kutoka kulia ni OG na Ima Base

Kiongozi wa kikundi cha Glorious Celebration akiimba siku ya Vijana Kibaha

Vijana wa Kibaha wakimtukuza Mungu

Baadhi ya Vijana waliohudhuria katika kongamano la Vijana Kibaha katika shule ya sekondari Filbert Bayi

Vijana wa KKKT wakiwasikiliza waimbaji wa nyimbo za injili GC

Hii ilikuwa ni siku furaha na shangwe kwa vijana wa Kibaha.

Baadhi ya waimbaji wa kikundi cha Glorious Celebration wakipata chakula cha mchana baada ya uimbaji

Baadhi ya uimbaji wa Glorious Celebration wakiwa katika kipindi cha michezo baada ya kutoka katika huduma ya uimbaji katika kongamano la Vijana Kibaha


USHUHUDA WA MCHUNGAJI HARISON MMANYI KABLA NA BAADA YA WOKOVU

Mchungaji Harison Mmanyi, akiwaombea watu waliokoka katika kongamano la vijana Kibaha

Mchungaji, Harison Mmanyi atoa ushuhuda wake kuhusu maisha yake kabla na baada ya wokovu.

Kabla ya wokovu alikuwa ni mlevi na alijulikana sana katika mabaa mengi hapa jijini Dar es Salaam.

Mungu alizungumza naye na baadae aliamua kuokoka. Akiwa katika wokovu Mchungaji huyu alikuwa ni Meneja wa Kampuni ya Konyagi nchini Tanzania, na baadae akaendelea na wokovu akiwa bado ni meneja wa kampuni hiyo.

Baada ya kuokoka aliomba Mungu amuondoe katika kampuni hiyo, lakini haikuwezekana kutokana ujumbe aliopata kwa Mungu kwamba hataondoka mpaka lengo lake MUNGU litimie. Lengo a Mungu lilikuwa kumtumia akiwa katika kampuni hiyo kuwaokoa wengine. Baadae Mungu akamtoa katika kampuni hiyo.

Maisha yaakanza kuwa magumu akiwa katika huduma, akamua kujihusisha na biashara ya kuku na hakufanikiwa Mchungaji huyo akieleza kwa uchungu mkubwa kutokana na kufilisika kwake ambapo ilifika hatua ya kumtegemea mke wake kwa kila kitu.

Mungu akaanza kufungua milango kutoka na uvumilivu wake katika kutumikia Mungu. Fedha na mali zikaanza kuja kwa wingi, na mpaka sasa amebarikiwa na anasomesha watoto wake ma watoto wa watoto wa ndugu zake..

Akielezea kusudu la Mungu kuhusiana na kufilisika kwake, anasema Mungu alipenda apoteze mali zake zote alizochuma akiwa katika kampuni ya konyagi, ili kumuonyesha kuwa Mungu anaweza kumtoa mtu kuanzia chini kabisa na kumuinua juu.


Posted by Rulea Sanga

MWISHO
----------------------------------------------------------------------------------

MWISHO



RUMA FASHION
Ruma ni kampuni inayojishulisha na utengezaji wa Thsirts za aina mbalimbali, na hasa imejikita katika uengenezaji wa tshirts zenye ujumbe wa Mungu.




Lengo la kutengeneza Tshirts zenye ujymbe wa Mungu ni kutangaza matendi makuu ya Mungu, na kumtangaza kwa wale wasioamini.

Ruma inakuomba ufanyike bango la Mungu kwa kuvaa Tshirts hizi, tunaamini wengi wataokoka na watamtukuza Mungu wetu.
-----------------------------------------
Ukiziitaji, wasiliana na
Rulea Sanga
Simu; +255 715 85 1523
Barua pepe: rumatz2011@yahoo.com
Emmanuel Mabisa
Barua pepe: Mabisatz@yahoo.com
Website: www.rumatz.com












Designer :Rulea Sanga: +255 715 851523